Home » » SERIKALI YA TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUBADILISHANA WAFUNGWA NA NCHI YA THAILAND

SERIKALI YA TANZANIA YASAINI MKATABA WA KUBADILISHANA WAFUNGWA NA NCHI YA THAILAND

photo  
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(kulia) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand, Mhe. Sura Pong Tovichakehaikul(kushoto)wakisaini Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Tanzania na Thailand(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza) photo (1) Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa tatu kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wengine Waandamizi wa Serikali ya Tanzania na Thailand wakishuhudia kusainiwa  kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand leo Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es Salaam (Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza). photo (2) 
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Stephen Masele walipokutana leo Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es Salaam kushuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand
(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa