Home » » BABA YAKE WEMA SEPETU ALAZWA HOSPITALI KWA MATIBABU!

BABA YAKE WEMA SEPETU ALAZWA HOSPITALI KWA MATIBABU!


‘Mwenyezi mungu atakuafu daddy wangu... its a very hard seeing my daddy sick like this.... I need ur prayers aswell... love u daddy sepetu wangu’aliandika Wema.
Baba wa Staa wa filamu za kibongo na Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Film,Wema Sepetu,Mzee Isaac Sepetu amelazwa hospitalini baada ya kuugua.
Wema alipost picha ya baba yake akiwa amelazwa hospitali akiwa na mama yake,Mariam Sepetu huku akiandika
‘God pliz help my daddy sepetu get well soon.... love u daddy wa mimi’.
 
CHANZO: VIJIMAMBO BLOG

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa