Home » » Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akipata matibabu chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi-Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akipata matibabu chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi-Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam

 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa amelazwa katika chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi, jijini Dar es Salaam, wakati akisubiri kufanyiwa operesheni katika bega lake la mkono wa kulia baada ya kupatwa na jeraha linalodaiwa kuwa limetokana na kupigwa risasi na Polisi mjini Morogoro hivi karibuni. 
Picha na Francis Dande

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa