Mwalimu
wa mafunzo ya Ukocha ya 'FIFA Copa Cocacol U 15', Govinder Thondoo,
akitoa mafunzo kwa Makocha 32 waliohudhuria mafunzo hayo yaliyofunguliwa
leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Makocha hao wakimsikiliza mwalimu wao wakati akiendelea kutoa somo
kuhusu ukocha wa michuano ya Coca Cola U 15, inayotarajia kuanza mwezi
ujao.
Makocha hao na walimu wao wakiwa katika picha ya pamoja.
Sunday Kayuni, akihojiwa na wanahabari baada ya ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo leo.
Picha Zote na Miraji Msala wa Sufianimafoto
0 comments:
Post a Comment