Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Katiba, Profesa Palamagamba
Kabudi akuizungumza na Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya
Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika
leo (Ijumaa Agosti 2, 2013) katika uykumbi wa Shule ya Sekondari ya
Kilangalanga iliyopo Wilayani humo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya
ya Kibaha Mkoani Pwa ni katika mkutano uliofanyika leo Ijumaa (Agosti
3, 2013) katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Kilangalanga iliyopo
Wilayani humo.
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani
Pwani, Bi. Fediria Swai akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katika katika mkutano uliofanyika
leo( Ijumaa Agosti 3, 2013) katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Kilangalanga
iliyopo Wilayani humo.
Mjumbe wa Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani,
Jenifer Hassani akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa
na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutanop uliofanyika leo Ijumaa
(Agosti 2, 2013) katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Kilangalanga
iliyopo Wilayani humo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi (wa
pili kulia|) akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Pwani leo Ijumaa (Agosti
2. 2013) wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Halima Kiemba
(kushoto), Katibu Tawala wa Mkoa, Bi. Bertha Swai (wa pili kushoto).
Wajumbe wa Tume walifika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kupokea
taarifa za maandalizi ya Mikutano ya Mabaraza ya Katiba katika Halmashauri
ya Wilaya ya Kibaha mkoani humo, kulia ni Mjumbe wa Tume, Mhe. Al-shaymaa
Kwegyir.
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi
(kushoto), Al- Shaymaa Kwegyir (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi wa Mkoa wa Pwani wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha,
Mhe. Halima Kiemba (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo,
Bi. Bertha Swai mara baada ya Wajumbe wa Tume kupokea taarifa ya Maandalizi
ya Mikutano ya Mabaraza ya Katiba katika Halmashauri za Wilaya na Miji
ya Kibaha.
Picha na Tume ya Katiba
0 comments:
Post a Comment