Home »
» NEWS ALERT: Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo
NEWS ALERT: Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha. ITV. Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. CHANZO ITV
0 comments:
Post a Comment