Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu
pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es
Salaam leo. Kushoto ni Kamishna wa Utawala, Rasilimali na Fedha wa Jeshi
la Polisi, Clodwing Mtweve.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja
na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo. Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
(CP) Suleiman Kova.Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
KUTOKA KITENGO
CHA
MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Post a Comment