Home » » WAZIRI MKUU WA THAILAND AMALIZA ZIARA YAKE TANZANIA

WAZIRI MKUU WA THAILAND AMALIZA ZIARA YAKE TANZANIA

Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, akipunga mkono, wakati akipanda ndege yake tayari kuondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku 3 nchini
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jeneral Davies Mwamunyange (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Ramadhan Othman (wa pili kulia), walipokutana baada ya Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam j
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra, wakipungia kikundi cha sanaa wakati wa hafla ya kumuaga mgeni wake huyo, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam
PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa