Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya Simu za mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Sept 5, 2013 akiwa na
ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za
mkononi ya Zante, waliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Sept 5, 2013 kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa
Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 5,
2013.
Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment