Baadhi ya washiriki kutoka Mwanza,
Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame
msimu wa sita wakijaza fomu maalumu kabla ya kutembelea Kiwanda cha Bia
cha Serengeti jijini Dar es Salaam mapema hii leo.
Meneja wa bia ya Tusker Sialouise Shayo(katikati)katika picha ya pamoja
na washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya
usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita, mara baada ya kutembelea
kiwandani hapo hii leo.
Packaging Manager wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti Praygod Minja akitoa maelezo kuhusu namna ya upakiaji
wa bia ya Tusker kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika
kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea
kiwandani hapo leo mchana.
Mpishi mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Cliff Chilipachi akitoa
maelezo kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili
ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea kiwandani
hapo leo mchana.
Packaging Manager wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti Praygod Minja katika picha ya pamoja na wageni mara
baada ya kumaliza ziara yao katika kitengo cha uzalishaji.





0 comments:
Post a Comment