Waziri waUjenzi Mh. Dkt. john
Magufuli (kushoto) akimkabidhi nyaraka Waziri wa Uchukuzi wa Malawi Mh.
Sidik Mia (kulia) leo jinini Dar es Salaam,walipokutana na kuzungumza
masuala mbalimbali yakiwemo kuimarisha ushirikiano katika nyaja za
usafirishaji .(katikati) Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Hebert
Mrango.
Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt. John
Magufuli (kushoto) akiongea na Waziri wa Uchukuzi wa Malawi Mh. Sidik
Mia(kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es
Salaam(katikati) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Hebert Mrango.
Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt. John
Magufuli (kushoto) leo amekutana na Waziri wa Uchukuzi kutoka Malawi
Mh.Sidik Mia (wapili pichani kutoka kulia) pamoja na Ujumbe wake jijini
Dar es Salaam.Pichani( katikati) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi
Herbet Mrango.
Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt, John
Magufuli (alienyanyua mkono) akiongea na ujumbe kutoka Malawi
alipokutana nao leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiaagana na Waziri wa
Usafirishaji kutoka Malawi (kulia) Mh. Sidik Mia pamoja na baadhi ya
ujumbe wake baada ya kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es
salaam,(katikati mwenye tai nyekundu) ni Waziri wa Nishati wa Malawi Mh.
Ibrahim Matola.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment