Mkurugenzi
Mtendaji wa Mwananchi Communications limited(MCL)Tido Mhando
akizungumza na waandishi wa habari jijini kuhusu kuanza uchapishaji wa
gazeti la Mwananchi kuanzia Oktoba 11, lililokuwa limefungiwa kwa wiki
mbili. Kulia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Denis Msacky na
Meneja Masoko wa Kampuni hiyo,Bernard Mukasa.
Home »
» GAZETI LA MWANANCHI KUANZA KUFANYA KAZI KESHO
0 comments:
Post a Comment