Home » » LUTENI RAJAB MLIMA ALIYEUAWA NCHINI KONGO AZIKWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

LUTENI RAJAB MLIMA ALIYEUAWA NCHINI KONGO AZIKWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakishusha kwenye gari jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma. 
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakiwa wameinamia kwa huzuni jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma.
Waombolezaji wakijiandaa kufanya maziko
Waombolezaji wakifanya maziko
Askari wa JWTZ wakitoa heshima wakati wa maziko
Meja Leonidas Luangisa akisoma wasifu wa marehemu Luteni Mlima.
Mseamaji Mkuu wa Familia ya Mlima, Balozi Alhaji Saleh Tambwe akisoma salamu za familia na kuwashukuru watu wote walioshiriki kwenye mazishi hayo.
(PICHA NA KHAMIS MUSSA)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa