Wadau wa Mimi na Tanzania,
Napenda kuwajulisha kuwa mtoto Suleiman anaendelea vizuri. Hadi leo hii
tumefanikiwa kukusanya shilingi milioni 4.2 kama michango ya Watanzania
kwa Suleiman. Atakuwa CCBRT hopsitali kuanzia jumanne kwa ajili ya
kuanza matibabu yake. Nawashukuru wote na tuendelee kumuombea Suleiman.
Mungu ibariki Tanzania na WATU wake... Kwa wale wanaopenda kuendelea
kumchangia, Imelda Mtema ndiye mhusika. Tigo Pesa 0713612533 na m-pesa
ni 0754021301
0 comments:
Post a Comment