Pichani chini baadhi ya Wafanyakazi
 wenzake na Ufo Saro kutoka IPP pamoja waandishi wa habari wa vyombo 
mbalimbali wakiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako Ufo Saro
 ambaye mpaka sasa, yuko katika chumba cha upasuaji  baada ya kupigwa 
risasi na mchumba wake Anteri Mushi usiku wa kuamkia leo ambapo pia 
alimpiga mama mzazi wa Ufo Saro Anastazia Peter Saro miaka 59 
aliyefariki hapohapo  na baadae kujipiga risasi mwenyewe na kufa 
hapohapo, Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Mbezi Luisi
Picha na Dj sek Blog
0 comments:
Post a Comment