Home » » VIDEO: Mama mzazi wa mwandishi wa ITV Radio one Ufoo Saro marehemu Anastazia Saro aagwa Dar es salaam , Jana

VIDEO: Mama mzazi wa mwandishi wa ITV Radio one Ufoo Saro marehemu Anastazia Saro aagwa Dar es salaam , Jana



Wakazi wa jiji la Dar Es Salaam wamejitokeza kuaga mwili wa mama mzazi wa mwandishi wa ITV Radio one Ufoo Saro marehemu Anastazia Saro katika kanisa la kiinjili la kilutheri Kibwegere Kibamba kabla ya kusafirishwa kwenda Moshi kwa mazishi.
Video kwa hisani ya ITV


1 comments:

Unknown said...
This comment has been removed by the author.
 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa