Home » » WANANCHI WATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKA KWA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA MAENDELEO KATIKA MAENEO YAO.

WANANCHI WATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKA KWA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA MAENDELEO KATIKA MAENEO YAO.


 Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu (kulia) akimkabidhi nyaraka za utendaji kazi mwenyekiti wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Omari Issa wakati wa uzinduzi wa baraza hilo  leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu akizungumza na wajumbe  wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo  leo jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Omari Issa akizungumza na wajumbe wa baraza hilo mara baada ya uzinduzi leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu (katikati) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Baraza jipya la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw. Omari Issa (kushoto) na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Anacleti Kashuliza leo jijini Dar es salaam.
 Wajumbe na Viongozi wa Baraza jipya la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dkt. Mary Nagu. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa