Balozi
Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia
mapema leo akiwa katika hospitali ya TMJ
alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari
na kiharusi alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar.
Balozi Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss
Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa
na ugonjwa na hatimaye mauti, alikuwa Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa
Vitega Uchumi Zanzibar.

PICHA: Maktaba
0 comments:
Post a Comment