Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Fereji wakati akiondoka
hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa
safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi
nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa
Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nchi katika Makamu
wa Rais Dkt Tereiya Huvisa wakati akiondoka hoteli ya Bristol jijini
Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea
nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako
alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi
akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu katika Ofisi ya
Makamu wa Rais Mhe Sazi Salula wakati akiondoka hoteli ya Bristol
jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea
nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako
alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi
akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu
wa Rais Dkt Terezya Huvisa na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Fereji wakati akiondoka hoteli ya
Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini
Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya
Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono Mwandishi wa Uhuru na
Mzalendo Bw. Ramadhani Mkoma wakati akaiaga na kuondoka hoteli ya
Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya
kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini
Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya
Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika. Kushoto ni mwandishi
wa ITV Bw. Emmanuel Buhohela, akifuatiwa na Naibu Mkurugenzi wa
Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi na Msaidizi
wa Waziri Huvisa
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment