1-Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais wa Zamani wa Ireland
ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu
Bibi Mary Robinson na kufanya nae mazungumzo jijini Dar es Salaam leo
(picha na Freddy Maro
Rais akiongea na mgeni wake
Rais Kikwete akisistiza jambo katika maongezi na mgeni wake
Rais akipata ukodak baada ya maongezi na mgeni wake
Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment