Home » » RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI NA KUWAAPISHA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA‏

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI NA KUWAAPISHA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA‏


 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amewasili nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) na kuwaapisha Makamishna wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana. Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu  Mapunda (pichani juu) na Mhe.Georgina Mulebya, (Pichani chini).
Rais Jakaya Kikwete,akimuapisha, Mhe.Georgina Mulebya. Picha na Freddy Maro.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa