Jopo
la majaji lilikutana na kuchagua kwa umakini kabisa watano bora. Hatua
ya uhakiki imeanza tutawaomba kuwapigia kura hapa hapa mtandaoni watano
bora ili kumpata mshindi ambaye atakuwa Mama Shujaa wa Chakula Mtandaoni
kwa mwaka 2013.
Fahamu zaidi kuhusu Grow kwa kutembelea https://www.facebook.com/GrowTanzania
Tazama video hii kufahamu sababu za Masoud Kipanya kuiunga mkono kampeni ya chakula ya GROW.
0 comments:
Post a Comment