Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil Tanzania Oystein Michelsen,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan 28, 2014 kwa
mazungumzo. Kushoto ni Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Statoil Tanzania,
Oivind Holm.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil Tanzania Oystein
Michelsen (wa pili kushoto) Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Statoil Tanzania,
Oivind Holm (wa pili kulia) Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa kampuni hiyo,
Genevieve Kisanga (kulia) na Msaidizi wa Mkurugenzi, Grace Usara baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam.


0 comments:
Post a Comment