Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi Goodluck Ole Medeye(kushoto) akimkabidhi ofisi Naibu Waziri mpya katika Wizara hiyo George Simbachawene (Kulia)leo kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete hivi karibuni.
Picha Clarence Nanyaro/Ardhi GCU.
Home »
» MH. MEDEYE AKABIDHI RASMI OFISI KWA MH. SIMBACHAWENE
0 comments:
Post a Comment