Mfuko wa Pesheni wa PSPF umeandaa semina maalumu kwa waandishi wa habari yenye lengo la kueleza shughuli za mfuko huo pamoja na kuutambulisha Mpango Wa Uchangiaji Wa Hiari (PSS) ambao unatao fursa kwa watu wote walio kwenye sekta ramsi na sekta isiyo rasmi kujiunga na kunufaika na mafao mbalimbali.
Katika picha tumekuletea awamu ya kwanza ya yanayojiri kutoka kwenye semina hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akifafanua jambo wakati wa semina ya waanishi wa habari yenye lengo la kuutambulisha mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS) wa mfuko wa pensheni PSPF.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa PSPF, Masha Mshomba, Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji, Gabriel Silayo
Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali PSPF kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa TEHAMA, Andrew Mkangaa, Mkurugenzi wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), Mwajaa Sembe, Mkurugenzi wa Uendeshaji, Neema Muro, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji, Gabriel Silayo na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa PSPF, Masha Mshomba
Washiriki wa semina hiyo ambao ni waandishi wa habari katika vyombo mbalimbali vya habari nchini
Mkurugenzi wa TEHAMA, Andrew Mkangaa, Mkurugenzi wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), Mwanjaa Sembe na Mkurugenzi wa Uendeshaji, Neema Muro,
Meneja wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin (aliyesimama) akitoa utambulisho wa meza kuu kwa waandishi wa habari
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment