Home » » PSPF YAELEZA SHUGHULI, MAFANIKIO NA MIPANGO YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI

PSPF YAELEZA SHUGHULI, MAFANIKIO NA MIPANGO YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI

Mfuko wa Pesheni wa PSPF umeandaa semina maalumu kwa waandishi wa habari yenye lengo la kueleza shughuli za mfuko huo pamoja na kuutambulisha Mpango Wa Uchangiaji Wa Hiari (PSS) ambao unatao fursa kwa watu wote walio kwenye sekta ramsi na sekta isiyo rasmi kujiunga na kunufaika na mafao mbalimbali.
 Wanahabari wakisoma moja ya vipeperushi vya PSPF

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, akifafanua jambo wakati wa semina ya waanishi wa habari yenye lengo la kuutambulisha mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS) wa mfuko wa pensheni PSPF.





 Mkurugenzi wa Uendeshaji, Neema Muro
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa PSPF, Masha Mshomba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari


 Mkurugenzi wa TEHAMA wa PSPF, Andrew Mkangaa
 Mkurugenzi wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), Mwajaa Sembe
 Maafisa Mawasiliano wa PSPF, kutoka kushoto ni Abdul Njaidi, Coleta Mnyamani na Afisa Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Queen Edward
 Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa PSPF, Gabriel Silayo 
 Meneja wa Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF, Costantina Martin
 Mkurugenzi wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), Mwajaa Sembe akitoa maelekezo kwa wanahabari ya namna ya kujaza fomu za kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari
Meneja wa kitengo cha kumbukumbu PSPF, Chacha Nyaikwabe akitoa maelezo kwa wanahabari ya namna kumbukumbu za wanachama zinavyotunzwa.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa