Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wenye Maduka na majumbani wengi wanatupa taka hovyo tuu katika barabara mpya
Mifuko imetupwa tupwa kutoka majumbani na hakuna anaye toa
Kila mtu anatupa tuu uchafu hovyo bila kujali, na jiji wanatazama tuu
Picha na Dar es salaam yetu Blog
Home »
» HII KERO : BARA BARA MPYA ZA MABASI YAENDAYO KASI YAGEUKA DAMPO NA KUSABABISHA HARUFU MBAYA!
0 comments:
Post a Comment