Home »
» JE WOTE WANAOFANYA BIASHARA KATIKA ENEO HILI HAWAJUI KUSOMA? WAHUSIKA MMECHUKUA HATUA GANI?
JE WOTE WANAOFANYA BIASHARA KATIKA ENEO HILI HAWAJUI KUSOMA? WAHUSIKA MMECHUKUA HATUA GANI?
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Hapa Biashara zinaendelea kama kawaida , mpaka kwenye hiki kibao Biashara zinasonga tuu
Zaidi ya vibao vitatu vinaonesha onyo la kutofanya biashara hapa lakini hawa wala hawana habari.
Picha na Dar es salaam yetu Blog
0 comments:
Post a Comment