Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijulia hali Ofisa wa Habari tume ya
Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya MOI Hospitali
ya Taifa Muhimbili.Bi.Chambiri aliwahi kufanya kazi katika Televisheni
ya Taifa TBC
(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment