Home » » TRAFIKI AMPA KICHAPO DEREVA WA BODABODA

TRAFIKI AMPA KICHAPO DEREVA WA BODABODA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 



 Dereva bodaboda (hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
                        ........akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo.
Askari wa usalama barabarani (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana na askari akiwa amebeba abilia wawili maarufu kama"mshikaki". baada ya askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka kwa dereva huyo, ndipo ikatokea hali ya kutyoelewana ndipo askari huyo huyo aliamua kumzaba kibao na kumjeruhi kama picha zinavyoonesha hapo juu.
(PICHA NA: HARUNI SANCHAWA/ GPL)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa