Home » » WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA, TANZANIA.

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA, TANZANIA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo.
Ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ukimsikiliza waziri.
 Wafanyakazi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakifuatilia mkutano huo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel, Bw. Oliver Mehl akitoa maelezo juu ya ujio wao na kuelezea mambo watakayoyafanya.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa