Home » » PICHA:TAARIFA YA MSIBA WA MTUNZA BUSTANI MKUU WA IKULU MAREHEMU RASHIDI CHILANGWA

PICHA:TAARIFA YA MSIBA WA MTUNZA BUSTANI MKUU WA IKULU MAREHEMU RASHIDI CHILANGWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa nyumbani kwa marehemu Mabibo jijini Dar es salaam
Mama Salma Kikwete akijumuika na wafiwa katika kuomboleza msiba nyumbani kwa marehemu Rashidi Chilangwa huko Mabibo, jijini Dar es salaam 
 Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi
 Mwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi
 Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Peter Ilomo akizungumza machache wakati wa msiba wa Mtunza Bustani mkuu marehemu Rashidi Chilangwa
Mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari tayari kwa safari yake ya mwisho  shambani kwake Kisarawe kwa mazishi.
Picha na Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa