Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi bora wa tafiti kwa wataalamu wake‏

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yaendesha warsha ya uandishi bora wa tafiti kwa wataalamu wake‏

 Jiunge na Huduma ya Tone Mobile News Bure kabisa kupitia Whatsapp yako na uwe wa kwanza kupata kile kinachotokea ni Rahisi sana Ingia katika uwanja wa kuandika ujumbe mfupi wa maneno katika Whatsapp yako kisha andika TONE MOBILE NEWS tuma kwenye namba 0756364660 utapokea ujumbe kuwa umeunganishwa. 
_1055413.JPG-3 Research methodology
Aziz Kilonge Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa kufunga warsha ya mafunzo ya uandishi bora wa tafiti ili kukidhi hitaji la msingi la kuhitimu taaluma ya ununuzi na ugavi iliyoratibiwa na kuendeshwa na Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kuazia tarehe 21 julai mpaka 25 julai 2014. kwenye ukumbi wa baraza la maaskofu TEC-Kurasini jijini Dar es salaam akiwa katika [icha ya pamoja na wakufunzi, washiriki pamoja na baadhi ya wakuu wa taasisi hiyo .kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa PSPTB Dr. Clemence Tesha, kutoka kushoto ni Dr. E. Tumsifu-mwezeshaji wa washa na Ally Songoro Mkurugenzi wa Mafunzopamoja na washiriki wa warsha hiyo.
_1055431.JPG-1 research methodology
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa (PSPTB) Dr. Clemence Tesha, kutoka kushoto ni Dr. E. Tumsifu-mwezeshaji wa washa na Ally Songoro Mkurugenzi wa Mafunzopamoja na washiriki wa warsha hiyo pamoja na wanawarsha.
_1015339.JPG-2-research methodology
Picha ya pamoja ya washiriki na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwa maelezo zaidi kuhusu taarifa mbalimbali za bodi wataalamu wa Ununuzi na Ugavi kwa kubofywa hapa www. psptb.go.tz

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa