Home » » DALADALA YAPATA AJALI TABATA MATUMBI

DALADALA YAPATA AJALI TABATA MATUMBI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata Matumbi Julai 3 mwaka huu.

Mashuhuda wa ajali hiyo wameipasha Blog hii kuwa daladala hilo lilipata ajali hiyo wakati lorio hilo likivuka barabara na kuligonga katikati. 
Kwa hisani ya Father Kidevu Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa