Home » » JUST IN: LIVE MUDA HUU GARI DOGO LATUMBUKIA MTARONI NJIAPANDA YA NERUKA MTONI KIJICHI.

JUST IN: LIVE MUDA HUU GARI DOGO LATUMBUKIA MTARONI NJIAPANDA YA NERUKA MTONI KIJICHI.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Eneo la Neruka mtoni kijichi kumetokea na ajali mida hii baada ya gari dogo kuingia mtaroni kama inavyo onekana pichani. Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika  mpaka sasa.. tupo eneo la tukio tutawapa taarifa zaidi. 
Picha na Dar es salaam yetu

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa