
Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Ukombozi cha
FRELIMO Filipe Nyusi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya
Kikwete, Ikulu Ndogo mjini Tanga, mgombea huyo alipokwenda kumsalimia na
kuwa na mazungumzo na Rais leo.

Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma, wakiwa katika picha ya kumbukumbu
na mgombea huyo kwa tiketi ya FRELIMO Filipe Nyusi, Ikulu Ndogo mjini
Tanga. Kushoto ni Mwenyeji wa Mgomba huyo, Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment