Home »
» MSICHANA AKUTWA KALALA KWENYE SANDUKU LA MCHOMA CHIPS
MSICHANA AKUTWA KALALA KWENYE SANDUKU LA MCHOMA CHIPS
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 |
Kituko
hiki kilitokea huko pande za Yombo Vituka Dar-Es-Salaama mchoma chips
kama kawaida baada ya kumaliza biashara yake alifunga kabati lake kwa
kufuli na kwenda kulala. Cha
kushangaza alivyo amka asubuhi na kuja kufungua kabati lake, alikuta
huyu dada kalala ndani ya kabati akiwa hajitambui na bila hata kula
mabaki ya chips na mishkaki kama unavyoona. kitu kilicho waacha majirani
midomo wazi wasijue la kufanya. Na hadi sasa bado haijajulikana
aliingiaje ndani ya kabati hilo la muuza chips kwani aliondoka bila hata
kusema chochote. |
0 comments:
Post a Comment