Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » RATIBA YA KUUAGA MWILI WA JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI,MH. LEWIS MAKAME

RATIBA YA KUUAGA MWILI WA JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI,MH. LEWIS MAKAME


RATIBA YA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MWENYEKITI MSTAAFU WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI   MHE. JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA YA RUFANI LEWIS MAKAME KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE TAREHE 22 AGOSTI, 2014.
MUDA
TUKIO
MHUSIKA
3.00- 3.30 ASUBUHI
WANANCHI NA WATUMISHI KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
3.30 – 4.00 ASUBUHI
VIONGOZI WASTAAFU, MAWAZIRI, MAJAJI WASTAAFU , VIONGOZI WA TUME YA
TAIFA YA UCHAGUZI, SERIKALI, TAASISI NA VYAMA VYASIASA KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
4.00 -4.15 ASUBUHI
WAH. MAJAJI WA MAHAKAMA KUU KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
4.15 – 4.20 ASUBUHI
MHE. JAJI KIONGOZI

KAMATI YA MAZISHI
4.20 – 4.25 ASUBUHI
MAHAKAMA YA RUFANI KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
4.25 – 4.30 ASUBUHI
JAJI MKUU KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
4.30 – 4.40 ASUBUHI
SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
4.40  - 4.45 ASUBUHI
MHE. WAZIRI MKUU KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
4.45  - 4.50
ASUBUHI
MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWASILI
IKULU/ KAMATI YA MAZISHI
4.50 – 5.00 ASUBUHI
MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI
5.00 – 5.05 ASUBUHI
MWILI WA MAREHEMU KUWASILI
KAMATI YA MAZISHI


5.05 – 5.10 ASUBUHI
SALA

5.10 – 5.20
WASIFU WA MAREHEMU
MWANAFAMILIA
5.20 – 5.30 ASUBUHI
NENO KUTOKA KWA CHAMA CHA MAJAJI WASTAAFU
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAJAJI WASTAAFU, MHE. JAJI MIHAYO
5.30 -5.40
NENO KUTOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI LUBUVA
5.40 -5.50 ASUBUHI
NENO KUTOKA KWA MHE. JAJI MKUU
MHE. JAJI MOHAMED CHANDE OTHMAN
5.50 – 6.00 ASUBUHI
NENO KUTOKA KWA MHE. RAIS
MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE
6.0 -6.10 MCHANA
NENO LA SHUKURANI
MSEMAJI WA FAMILIA
6.10 MCHANA 6.50 MCHANA
KUAGA
KAMATI YA MAZISHI
6.50 -7.00 MCHANA
KUWASILI KANISANI – ST. ALBAN - UPANGA
KAMATI YA MAZISHI
7.00 MCHANA  - 9.00 ALASIRI
MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU

9.00 ALASIRI
KUONDOKA KUELEKEA MUHEZA - TANGA
KAMATI YA MAZISHI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa