Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya
Security Group (T) Ltd (SGA), Eric Sambu akizungumza na wafanyakazi wa kampuni
hiyo muda mfupi kabla ya kuanza kuufanyia usafi ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo
la Mbezi Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuadhimisha miaka 30 ya
utendaji kazi wa kampuni hiyo nchini.
Wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya ulinzi
ya Security Group (T) Ltd (SGA), wakifanya usafi katika ufukwe wa Bahari ya
Hindi, Mbezi Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kudhimisha miaka 30 ya
kampuni hiyo tangu kuanza kufanya kazi zake hapa nchini.
Meneja Mawasiliano wa kampuni ya ulinzi
ya Securty Group (T) Ltd (SGA), Sofia (kushoto) akitoa maelekezo kwa
wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa zoezi la kufanya usafi katika ufukwe wa
Bahari ya Hindi, eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni
kuadhimisha miaka 30 ya utendaji kazi wa kampuni hiyo hapa nchini.
Wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya
Security Group (T) Ltd (SGA) akifurahia katika picha ya pamoja baada ya
kukamilisha zoezi la ufanyaji usafi katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki kuadhimisha miaka 30 ya utendaji kazi wa kampuni hiyo
nchini.
Wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya Security
Group (T) Ltd (SGA) wakionesha sehemu ya taka ngumu walizookota katika ufukwe
wa Bahari ya Hindi, eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam wakati walipoufanyia
usafi ufukwe huo kuadhimisha miaka 30 ya utendaji kazi wa kampuni hiyo hapa
nchini.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment