Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communication,
Francis Nanai, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na
kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo. Kushoto ni Mhariri
Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bakari Machumu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Mwananchi Communication, Francis Nanai wakati walipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na
kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kuelezea kazi
zinazofanywa na kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi
wa juu wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Mkurugenzi Mtendaji Francis Nanai (wa pili kushoto) Mhariri Mtendaji Bakari
Machumu (kulia) na Mshauri wa Kampuni hiyo, Teddy Mapunda (kushoto) baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Feb 13, 2015.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment