Sioni sababu yeyote ya msingi ya taasisi yoyote kushindwa kurudishia milango ya vyoo pale inapobomoka, sielewi mjenzi wa vyoo hivi alifikiria nini kujenga vyoo bila kuweka mabomba ya maji au kufanya utaratibu wowote ili mtumiaji wa choo hiki aweze kupata maji akiwa ndani ya choo, sababu ya vyoo hivi kua vichafu na vyenye harufu kali kiasi cha watumiaji kuvitumia wakiwa wameziba pua, siielewi pia ni kosa la nani.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment