Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye (wapili kushoto) akiagana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications, Ramadhani Mkoma (wapili kulia), baada ya kuzungumza na wafanyakazi hao na kuumaliza mgogoro huo ulio kuwa ukiendelea, kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Moses Makambi
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, akiagana na baadhi ya wafanyakazi hao baada ya kuzungumza Dar es Salaam leo
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye katika Picha ya pamoja baada ya kuumaliza mgogoro wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Publications, Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Uhuru Publications katika Picha ya pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, baada ya kuumaliza mgogoro uliokuwa ukiendelea
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye katika picha na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya mazungumzo ya kutatua mgogoro huo leo |
Afisa Mauzo wa Uhuru Publications Uwezo Kasongo akiwa amebebwa na Mhasibu wa kampuni hiyo , Paul Mng'ong'o. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog.
0 comments:
Post a Comment