Home » » JUST IN: PICHA- MKUTANO WA UKAWA NA WANAHABARI MUDA HUU BAHARI BEACH DAR ES SALAAM

JUST IN: PICHA- MKUTANO WA UKAWA NA WANAHABARI MUDA HUU BAHARI BEACH DAR ES SALAAM

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Hivi ndivyo walivyo katika hoteli wakijiandaa na mapokezi ya Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa katika hoteli ya bahari beachi jijini Dar es Salaam

 Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Bawacha,Halima Mdee akifakari  kulia kwake ni Mzee Kimesera leo katika waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam,
Sehemu ya kamera zikisubiri kuwasili kwa kiongozi huyo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.


Waandishi habari na baadhi ya viongozi wa vyama mbalimbali wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wakimsubiri  Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassaa kwa ajili ya kujiunga na UKAWA ,baada ya muda mfupi tutawaletea  chama anchajiunga nacho. 
 
Kwa hisani ya Michuzi Media

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa