Home » » USIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA‏

USIKU WA HERIETH PALLANGYO ULIVYOFANA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Biharusi mtarajiwa Herieth Charles Pallangyo akiwa kwenye pozi muda mfupi kabla ya kuanza tafrija yake maalum ya kugana na familia yake kbla ya kufunga ndoa. Tafrija ya kumpongeza na kumuaga iliyofanyika ukumbi wa Giraffe Sunset, Mbezi Beach Dar es Salaam. Production by: MD Digital Company +255 717002303, +255 755 373999.
 Herieth akiwa katika pozi la picha na mama yake
 Wazaa chema Bwana na Bibi Charles Pallangyo wakiwa katika pozi.
 Wageni waalikwa wakiwa ukumbini hapo. PICHA ZAIDI HAPA

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa