Aliyekuwa Waziri
wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye gari la polisi kwenye
viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, wakati
alipofikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kufanya vurugu kwenye kituo cha
polisi Oysterbay juzi. (Picha na Said Powa)
Home »
» ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AKOSA DHAMANA AENDA MAHABUSU YA GEREZA LA SEGEREA
0 comments:
Post a Comment