Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA UKONGA,WANANCHI WAMPONGEZA JERRY SILAA NYUMBANI KWAKE.

BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI JIMBO LA UKONGA,WANANCHI WAMPONGEZA JERRY SILAA NYUMBANI KWAKE.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wamempongeza nyumbani kwake mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea,Jerry Silaa.
Silaa aliibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October 25.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa