Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen.
Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi
Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju wakati Mabalozi hao kwa pamoja
walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja naBalozi mteule wa Tanzania
Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa
Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju wakati
Mabalozi hao kwa pamoja walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake
Ikulu Dar es salaam leo (Picha na OMR)
0 comments:
Post a Comment