Home » » NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”

NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti
 MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Bloggers wakimsikiliza  Mkurugenzi wa huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, alipokuwa akiwasisilisha mada iliyohusu mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA kwenye warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
  MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti,akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
 
 Baadhi ya Bloggers wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye Warsha hiyo
 Wadau wakifuatilia jambo
 Bloggers wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye warsha hiyo 
  Baadhi ya Bloggers wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye Warsha hiyo
Blogger Mzee Kitime akichangia jambo katika semina hiyo ya iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika  katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa