Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MBUNGE WA JIMBO LA ILALA MUSSA ZUNGU AIPATIA X-LEY YA KISASA HOSPITALI YA MKOA WA ILALA 'AMANA'‏

MBUNGE WA JIMBO LA ILALA MUSSA ZUNGU AIPATIA X-LEY YA KISASA HOSPITALI YA MKOA WA ILALA 'AMANA'‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
  Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) kushoto apata maelezo toka kwa Mtaalamu wa Mionzi Timothy Mnkai mara baada ya kukabidhi mashine hiyo ya X-ley Dar es Salaam  ya kisasa yenye dhamani ya Tsh. Milioni 85, nakufanya gharama za kupiga X-ley kushuka hadi Elfu Tatu badala ya elfu kumi na Tano za awali (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) akiwaonyenyesha waandishi wa habari na Viongozi wa Chama cha Mapiduzi (pichani hawapo)  CD  hiyo ya X-ley inayotumika kwa maktari kutambua matatizo ya mgonjwa tofauti na mfumo uliozoweleka kwa kutumia X-ley ya kuweka kwenye taa maalumu au kutaza kwa kuangalia kwakutumia mwanga wa nje, kulia ni Fundi Sanifu wa Mionzi Elvis Challe
Mwananchi Ally Madenge akifanya malipo kwa njia ya kisasa ya Viza Cad na nyuma yake ni mteja anayekusubiri kuhudumiwa  
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) wa Tatu kushoto akitowa maelezo kwa Viongozi wa Chama cha Mapiduzi mara walipofika hospitali ya Mkoa ya Amana Dar es Salaam  kutembelea Hospitali hiyo kujionea X-ley hiyo baada yakufungwa katika chumba maalum yenye Dhamani ya Tsh. Milioni 85, aliyo ipatia Hospitali hiyo na kufanya Gharama kushuka hadi Elfu tatu  badala ya Tsh. elfu kumi na Tano za awali

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa