Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » MGANGA MKUU MSAIDIZI WA MANISPAA YA ILALA WILLY SANGU AFURAHISHWA NA KITUO HICHO CHA KISASA KUFUNGULIWA

MGANGA MKUU MSAIDIZI WA MANISPAA YA ILALA WILLY SANGU AFURAHISHWA NA KITUO HICHO CHA KISASA KUFUNGULIWA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 



 Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akizungumza jambo na wafanyakazi wa kituo hicho na wadau Dr es Salaam waliofika katika uzinduzi huo wa kituo kipya cha kisasa kinachotoa huduma mbalimbali za Upasuaji  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)







  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wapili kulia) akiangalia Daftari la mahudhurio na kuona namba kubwa ya wagonjwa inayoongezeka kwa wanawake ni ya watu wenye magojwa ya UTI, kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha JPM


  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu akimpa pole mgojwa Umrat Haroub aliyetoka magomeni kufata huduma katika kituo hicho kilichopo Kimanga Tabata Jijini Dar es Salaam




 Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa pili kushoto) akikata utepe katika uzinduzi wa Kituo cha Jerome Peter Mkiramweni (JPM), kilichopo Tabata Kimanga Dar es Salaam . wakwanza kushoto ni Mganga Mkuu wa Upasuaji wa kituo hicho Dtk. Amiri Ally Binzoo na watatu kulia ni Mkurugenzi wa kituo hicho cha JPM, Dkt, Jerome Mkimwani . 

 Picha ya wafanyakazi wa kituo cha kisasa na mgeni rasmi ambaye ni  Mganga Mkuu Msaidizi wa Manispaa ya Ilala, Willy Sangu (wa nne kulia)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa